Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:43 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

43 Akamkataza kwa nguvu, marra akamwondosha, akamwambia, Fahamu, usimpe khabari mtu ye yote,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Kisha Yesu akamwambia aende zake upesi na kumwambia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Kisha Yesu akamwambia aende zake upesi na kumwambia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Kisha Yesu akamwambia aende zake upesi na kumwambia,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Baada ya Isa kumwonya vikali, akamruhusu aende zake mara moja;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Baada ya Isa kumwonya vikali, akamruhusu aende zake

Tazama sura Nakili




Marko 1:43
7 Marejeleo ya Msalaba  

Macho yao yakafumbuka. Yesu akawaagiza kwa nguvu, akinena, Angalieni hatta mtu mmoja asijue.


Marra hiyo ukoma wake ukamwondoka, akatakasika.


bali enenda zako ukajiouyeshe kwa kuhani ukatoe alivyoamuru Musa kwa kutakasika kwako, illi kuwa ushuhuda kwao.


Akawagombeza sana, wasimdhihirishe.


Akawaagiza sana, mtu asijue khabari ile; akaamuru apewe chakula.


Akawaagiza wasimwambie mtu; lakini kwa kadiri alivyozidi kuwaagiza, ndivyo walivyozidi kutangaza khabari, wakashangaa mno kupita kiasi, wakinena,


Wazazi wake wakastaajabu sana, akawaamuru wasimwambie mtu lililotukia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo