Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:42 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

42 Marra hiyo ukoma wake ukamwondoka, akatakasika.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 Mara ukoma ukamwacha mtu huyo, akatakasika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 Mara ukoma ukamwacha mtu huyo, akatakasika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 Mara ukoma ukamwacha mtu huyo, akatakasika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 Mara ukoma ukamtoka, naye akatakasika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 Mara ukoma ukamtoka, naye akatakasika.

Tazama sura Nakili




Marko 1:42
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Ee mwanamke, imani yako kubwa; pata utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.


marra wakamwambia khahari zake: akamkaribia, akamwinua kwa kumshika mkono, homa ikamwacha, akawakhudumia.


Yesu akamhurumia, akanyosha mkono wake, akamgusa, akamwambia, Nataka, takasika.


Akamkataza kwa nguvu, marra akamwondosha, akamwambia, Fahamu, usimpe khabari mtu ye yote,


Marra chemchemi ya damu yake ikakauka, akafahamu mwilini mwake kwamba amepona msiba ule.


Ninyi mmekwisba kuwa safi kwa sababu ya neno nililowaambia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo