Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

40 Akaja kwake mtu mwenye ukoma, akamsihi na kumpigia magoti, na kumwambia, Ukitaka, waweza kunitakasa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Mtu mmoja mwenye ukoma alimwendea Yesu, akapiga magoti, akamwomba: “Ukitaka, waweza kunitakasa!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Mtu mmoja mwenye ukoma alimwendea Yesu, akapiga magoti, akamwomba: “Ukitaka, waweza kunitakasa!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Mtu mmoja mwenye ukoma alimwendea Yesu, akapiga magoti, akamwomba: “Ukitaka, waweza kunitakasa!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Mtu mmoja mwenye ukoma alimjia Isa, akapiga magoti, akimwomba, “Ukitaka, unaweza kunitakasa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Mtu mmoja mwenye ukoma alimjia Isa, akamwomba akipiga magoti, akamwambia, “Ukitaka, waweza kunitakasa.”

Tazama sura Nakili




Marko 1:40
20 Marejeleo ya Msalaba  

vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakasika, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanakhubiriwa khabari njema.


Nao walipoufikia mkutano, mtu akamjia, akampigia magoti, akinena,


Yesu akamhurumia, akanyosha mkono wake, akamgusa, akamwambia, Nataka, takasika.


Hatta alipokuwa akitoka kwenda njiani mtu mmoja akaja mbio, akampigia magoti, akamwuliza, Mwalimu mwema, nifanyeni nipate kuurithi uzima wa milele?


Akiisha akajitenga nao kadiri ya mtupo wa jiwe, akapiga magoti, akaomba, akisema,


Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii. Akiisha kusema haya akalala.


Kwa hiyo nampigia magoti Baba,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo