Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Akatokea Yohana, akibatiza jangwani, na kuukhubiri ubatizo wa toba liletalo ondoleo la dhambi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Yohane Mbatizaji alitokea jangwani, akahubiri kwamba watu watubu na kubatizwa ili Mungu awasamehe dhambi zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Yohane Mbatizaji alitokea jangwani, akahubiri kwamba watu watubu na kubatizwa ili Mungu awasamehe dhambi zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Yohane Mbatizaji alitokea jangwani, akahubiri kwamba watu watubu na kubatizwa ili Mungu awasamehe dhambi zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Yahya alikuja akibatiza huko nyikani, akihubiri ubatizo wa toba kwa ajili ya msamaha wa dhambi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Yahya alikuja, akibatiza huko nyikani, akihubiri ubatizo wa toba kwa ajili ya msamaha wa dhambi.

Tazama sura Nakili




Marko 1:4
11 Marejeleo ya Msalaba  

Mimi nawabatizeni katika maji mpate kutubu: bali yeye ajae nyuma yangu ni hodari kuliko mimi, wala sistahili hatta kuchukua viatu vyake; yeye atawabatizeni kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.


wakabatizwa nae mtoni Yordani, wakiziungama dhambi zao.


Wakamwendea inchi yote ya Yahudi, nao wa Yerusalemi, wakabatizwa nae katika mto Yardani, wakiziungama dhambi zao.


Uwajulishe watu wake wokofu Zikiondolewa dhambi zao,


Yohana nae alikuwa akibatiza huko Ainon, karibu na Salim, kwa sababu palikuwa na maji tele; watu wakamwendea wakabatizwa.


jambo lile mmelijua, lililoenea katika Yahudi yote likianzia Galilaya, haada ya ubatizo alioukhubiri Yohana;


Bassi sasa, unakawiliani? Simama ubatizwe ukaoshe dhambi zako, ukiliitia jina la Bwana.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo