Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

39 Akawa akikhubiri katika masuuagogi yao, katika inchi yote ya Galilaya, na kufukuza pepo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Basi, akaenda kila mahali huko Galilaya akihubiri katika masunagogi na kufukuza pepo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Basi, akaenda kila mahali huko Galilaya akihubiri katika masunagogi na kufukuza pepo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Basi, akaenda kila mahali huko Galilaya akihubiri katika masunagogi na kufukuza pepo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Kwa hiyo akazunguka Galilaya yote, akihubiri katika masinagogi yao na kutoa pepo wachafu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Kwa hiyo akazunguka Galilaya kote, akihubiri katika masinagogi yao na kutoa pepo wachafu.

Tazama sura Nakili




Marko 1:39
10 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akazunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika sunagogi zao, na kuikhubiri injili ya ufalme, na kuponya ugonjwa na udhaifu wa killi namna katika watu.


Na Yesu alikuwa akizunguka katika miji yote na vijiji, akifundisha katika masunagogi yao, akikhubiri injili ya ufalme, akiponya magonjwa yote na dhaifu zote katika watu.


Wakashika njia hatta Kapernaum; na siku ya sabato akaingia sunagogi, akafundisha.


Palikuwapo katika sunagogi yao mtu mwenye pepo mchafu; akapaaza sauti,


Akawaambia, Twende pengine hatta vijiji vilivyo karibu, nipate kukhubiri na huko; maana kwa hiyo nalitokea.


AKAINGIA tena katika sunagogi: na palikuwako huko mtu mwenye mkono umepooza:


Akastaajahu kwa sababu ya kutokuamini kwao. Akazungukazunguka katika vile vijiji, akifundisha.


Akaenda zake nyumbani kwake, akamkuta yule kijana amelazwa kitandani, na yule pepo amekwisha kumtoka.


Pepo wakawatoka wengi wakipaaza sauti zao wakisema, Wewe u Kristo, Mwana wa Mungu. Akawakemea, asiwaache kunena, kwa sababu walijua ya kuwa yeye ndiye Kristo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo