Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Akawaambia, Twende pengine hatta vijiji vilivyo karibu, nipate kukhubiri na huko; maana kwa hiyo nalitokea.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Yesu akawaambia, “Twendeni katika miji mingine ya jirani nikahubiri huko pia, maana nimekuja kwa sababu hiyo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Yesu akawaambia, “Twendeni katika miji mingine ya jirani nikahubiri huko pia, maana nimekuja kwa sababu hiyo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Yesu akawaambia, “Twendeni katika miji mingine ya jirani nikahubiri huko pia, maana nimekuja kwa sababu hiyo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Isa akawajibu, “Twendeni mahali pengine, kwenye vijiji jirani, ili niweze kuhubiri huko pia. Maana nilikuja kwa kusudi hili.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Isa akawajibu, “Twendeni mahali pengine kwenye vijiji jirani, ili niweze kuhubiri huko pia, kwa sababu hicho ndicho nilichokuja kukifanya.”

Tazama sura Nakili




Marko 1:38
10 Marejeleo ya Msalaba  

wakamwona, wakamwambia, Watu wote wanakutafuta.


Akawa akikhubiri katika masuuagogi yao, katika inchi yote ya Galilaya, na kufukuza pepo.


Akawaambia, Kwani kunitafuta? Hamkujua ya kuwa imenipasa kuwa katika nyumba ya baba yangu?


Akawaambia, Imenipasa kukhubiri khabari njema ya ufalme wa Mungu katika miji mingine pia: maana kwa hiyo nalitumwa.


Nalitoka kwa Baba, nimekuja ulimwenguni; tena nauacha ulimwengu, nashika njia kwenda kwa Baba.


Mimi nimekutukuza duniani. Kazi ile uliyonipa niifanye nimeimaliza.


kwa kuwa maneno uliyonipa nimewapa wao; wakavapokea, wakajua hakika ya kuwa nalitoka kwako, wakaamini ya kwamba ndiwe uliyenituma.


Yanipasa kuzifanya kazi zake aliyenipeleka maadam ni mchana: usiku waja, asipoweza mtu kufanya kazi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo