Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

35 Hatta alfajiri na mapema sana, akaondoka, akatoka akaenda zake mahali pasipo watu akasali huko.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Kesho yake, kabla ya mapambazuko, Yesu alitoka, akaenda mahali pa faragha kusali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Kesho yake, kabla ya mapambazuko, Yesu alitoka, akaenda mahali pa faragha kusali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Kesho yake, kabla ya mapambazuko, Yesu alitoka, akaenda mahali pa faragha kusali.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Alfajiri na mapema sana kulipokuwa bado kuna giza, Isa akaamka, akaondoka, akaenda mahali pa faragha ili kuomba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Alfajiri na mapema sana kulipokuwa bado kuna giza, Isa akaamka, akaondoka, akaenda mahali pa faragha ili kuomba.

Tazama sura Nakili




Marko 1:35
15 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu aliposikia, akatoka huku katika chombo, akaenda mahali pasipo watu, kwa faragha. Na makutano waliposikia, wakamfuata kwa miguu toka miji yao.


Alipokwisha kuwaaga makutano, akapanda mlimani kwa faragha, kwenda kusali. Na ilipokuwa jioni, alikuwako huko peke yake.


Simon ua wenziwe wakamfuata;


Lakini yeye alikuwa akijitenga jangwani na kusali.


Ikawa katika siku zile akaomloka akaenda mlimani kuomba, akashinda usiku kucha, akimwomba Mungu.


Yesu akawaambia, Chakula changu ndicho hiki, niyatende mapenzi yake aliyenipeleka nikaimalize kazi yake.


Bassi Yesu, akitambua ya kuwa walitaka kuja kumchukua illi wamfanye mfalme, akajitenga, akaenda tena mlimani, yeye peke yake.


kwa sala zote na kuomha mkisali killa wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo, mkifanya juhudi sana, na kuwaombea watakatifu wote,


Maana mwe na nia lili ndani yenu iliyokuwamo na ndani ya Yesu Kristo;


Yeye siku hizo za niwili wake alimtolea yeye awezae kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa sababu ya kicho chake;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo