Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 Hatta ilipokuwa jioni, na jua limekwisha kuchwa, wakamletea wote waliokuwa hawawezi, na wenye pepo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Jioni, jua lilipokwisha tua, wakamletea Yesu wagonjwa wote na watu waliopagawa na pepo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Jioni, jua lilipokwisha tua, wakamletea Yesu wagonjwa wote na watu waliopagawa na pepo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Jioni, jua lilipokwisha tua, wakamletea Yesu wagonjwa wote na watu waliopagawa na pepo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Jioni ile baada ya jua kutua, watu wakamletea Isa wagonjwa wote na waliopagawa na pepo wachafu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Jioni ile baada ya jua kutua, watu wakamletea Isa wagonjwa wote na waliopagawa na pepo wachafu.

Tazama sura Nakili




Marko 1:32
8 Marejeleo ya Msalaba  

Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.


Ilipokuwa jioni, wakamletea wengi wenye pepo: akawafukuza pepo kwa neno lake, akawaponya wote waliokuwa hawawezi,


illi litimie lile neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema, Mwenyewe alitwaa magonjwa yetu, na kuchukua maradhi zetu.


Wakashika njia hatta Kapernaum; na siku ya sabato akaingia sunagogi, akafundisha.


marra wakamwambia khahari zake: akamkaribia, akamwinua kwa kumshika mkono, homa ikamwacha, akawakhudumia.


wakamvizia kuona kwamba atampotiya siku ya sabato: wapate kumshitaki.


Hatta jua lilipokuwa likichwa watu wote waliokuwa na wagonjwa wenye maradhi mbali mbali wakawaleta kwake: nae akaweka mikono yake juu ya killa mmoja, akawaponya.


Pepo wakawatoka wengi wakipaaza sauti zao wakisema, Wewe u Kristo, Mwana wa Mungu. Akawakemea, asiwaache kunena, kwa sababu walijua ya kuwa yeye ndiye Kristo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo