Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 1:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 marra wakamwambia khahari zake: akamkaribia, akamwinua kwa kumshika mkono, homa ikamwacha, akawakhudumia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Yesu akamwendea huyo mama, akamshika mkono, akamwinua. Na ile homa ikamwacha, akaanza kuwatumikia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Yesu akamwendea huyo mama, akamshika mkono, akamwinua. Na ile homa ikamwacha, akaanza kuwatumikia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Yesu akamwendea huyo mama, akamshika mkono, akamwinua. Na ile homa ikamwacha, akaanza kuwatumikia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Hivyo Isa akamwendea, akamshika mkono na kumwinua. Kisha homa ikamwacha, naye akaanza kuwahudumia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Hivyo Isa akamwendea, akamshika mkono na kumwinua. Kisha homa ikamwacha, naye akaanza kuwahudumia.

Tazama sura Nakili

Marko 1:31
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na palikuwa na wanawake wengi huko wakitazama kwa mbali, hawo ndio waliomfuata Yesu toka Galilaya, na kumtumikia.

Mama wa mkewe Simon alikuwa kitandani, hawezi homa;

Hatta ilipokuwa jioni, na jua limekwisha kuchwa, wakamletea wote waliokuwa hawawezi, na wenye pepo.

hawa ndio waliomfuata alipokuwa Galilaya, na kumkhudumia; na wengine wengi waliopanda pamoja nae hatta Yerusalemi.

Akamshika mkono yule kijana, akamwambla, Talitha, kumi: tafsiri yake, Kijana, nakuambia, Ondoka.

Akampa mkono, akamwinua; hatta akiisha kuwaita wale watakatifu na wajane akamweka mbele yao, yu hayi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo