Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 1:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Mama wa mkewe Simon alikuwa kitandani, hawezi homa;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Basi, mama mmoja, mkwewe Simoni, alikuwa kitandani ana homa kali. Wakamwarifu Yesu mara alipowasili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Basi, mama mmoja, mkwewe Simoni, alikuwa kitandani ana homa kali. Wakamwarifu Yesu mara alipowasili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Basi, mama mmoja, mkwewe Simoni, alikuwa kitandani ana homa kali. Wakamwarifu Yesu mara alipowasili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Mama mkwe wa Simoni alikuwa kitandani, ana homa, nao wakamweleza Isa habari zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Mama mkwe wa Simoni alikuwa kitandani, ana homa, nao wakamweleza Isa habari zake.

Tazama sura Nakili

Marko 1:30
7 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta Yesu alijiofika nyumbani kwa Petro, akamwona mama wa mkewe amelala hawezi homa.

Marra walipotoka katika sunagogi, wakalika nyumbani kwa Simon na Andrea, pamoja na Yakobo na Yohana.

marra wakamwambia khahari zake: akamkaribia, akamwinua kwa kumshika mkono, homa ikamwacha, akawakhudumia.

akimsihi sana, akinena. Binti yangu mdogo yu katika kufa: nakuomba nje, nweke mkono wako juu yake, apate kupona, nae ataishi.

Bassi wale maumbu wakatuma ujumbe kwake, wakisema, Bwana, yeye umpendae hawezi.

Hatuna uwezo kuchukua pamoja nasi mke aliye ndugu, kama wao mitume wengine, na ndugu wa Bwana, na Kefa?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo