Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Sauti yake aliae jangwani, Itengenezeni njia ya Bwana, Nyosheni mapito yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Sauti ya mtu anaita jangwani: ‘Mtayarishieni Bwana njia yake, nyosheni barabara zake.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Sauti ya mtu anaita jangwani: ‘Mtayarishieni Bwana njia yake, nyosheni barabara zake.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Sauti ya mtu anaita jangwani: ‘Mtayarishieni Bwana njia yake, nyosheni barabara zake.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 “sauti ya mtu aliaye nyikani, ‘Itengenezeni njia ya Mwenyezi Mungu, yanyoosheni mapito yake.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 “sauti ya mtu aliaye nyikani. ‘Itengenezeni njia ya Mwenyezi Mungu, yanyoosheni mapito yake.’ ”

Tazama sura Nakili




Marko 1:3
8 Marejeleo ya Msalaba  

SIKU zile akaondokea Yohana Mbatizaji akikhubiri katika jangwa ya Yahudi, akinena,


Kwa sababu huyo ndiye aliyenenwa na nabii Isaya, akisema, Sauti yake apigae mbin jangwani, Itengenezeni njia ya Bwana, Nyosheni mapito yake.


wakati wa ukuhani ukuu wa Anna na Kayafa, neno la Mungu likamfikia Yohana, mwana wa Zakaria, jangwani.


Yohana akamshuhudia, akapaaza sauti yake, akinena, Huyu ndiye niliyemnena khabari zake, kwamba, Ajae nyuma yangu amekuwa mbele yangu; kwa maana alikuwa kabla yangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo