Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 1:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Marra walipotoka katika sunagogi, wakalika nyumbani kwa Simon na Andrea, pamoja na Yakobo na Yohana.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Wakatoka katika sunagogi, wakaenda moja kwa moja hadi nyumbani kwa Simoni na Andrea; Yakobo na Yohane walikwenda pamoja nao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Wakatoka katika sunagogi, wakaenda moja kwa moja hadi nyumbani kwa Simoni na Andrea; Yakobo na Yohane walikwenda pamoja nao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Wakatoka katika sunagogi, wakaenda moja kwa moja hadi nyumbani kwa Simoni na Andrea; Yakobo na Yohane walikwenda pamoja nao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Mara walipotoka katika sinagogi, walienda pamoja na Yakobo na Yohana hadi nyumbani mwa Simoni na Andrea.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Mara walipotoka katika sinagogi, walikwenda pamoja na Yakobo na Yohana hadi nyumbani kwa Simoni na Andrea.

Tazama sura Nakili

Marko 1:29
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wakashika njia hatta Kapernaum; na siku ya sabato akaingia sunagogi, akafundisha.

Palikuwapo katika sunagogi yao mtu mwenye pepo mchafu; akapaaza sauti,

Khahari zake zikaenea marra inchi zote kando ya Galilaya.

Mama wa mkewe Simon alikuwa kitandani, hawezi homa;

Yesu akamwambia, Mbweha wana matundu, na ndege za anga vioto vyao, bali Mwana wa? Adamu hana pa kujilaza kichwa chake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo