Marko 1:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192128 Khahari zake zikaenea marra inchi zote kando ya Galilaya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Habari za Yesu zikaenea upesi kila mahali katika eneo la Galilaya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Habari za Yesu zikaenea upesi kila mahali katika eneo la Galilaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Habari za Yesu zikaenea upesi kila mahali katika eneo la Galilaya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Sifa zake zikaanza kuenea haraka katika eneo lote la karibu na Galilaya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Sifa zake zikaanza kuenea haraka katika eneo lote la karibu na Galilaya. Tazama sura |