Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Yule pepo mchafu akamrarua, akalia kwa sauti kuu, akamtoka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Basi, huyo pepo mchafu akamtikisatikisa mtu huyo, kisha akalia kwa sauti kubwa, akamtoka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Basi, huyo pepo mchafu akamtikisatikisa mtu huyo, kisha akalia kwa sauti kubwa, akamtoka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Basi, huyo pepo mchafu akamtikisatikisa mtu huyo, kisha akalia kwa sauti kubwa, akamtoka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Yule pepo mchafu akamgaragaza huyo mtu kwa nguvu, kisha akamtoka akipiga kelele kwa sauti kubwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Yule pepo mchafu akamtikisatikisa huyo mtu kwa nguvu, kisha akamtoka akipiga kelele kwa sauti kubwa.

Tazama sura Nakili




Marko 1:26
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamkaripia, akinena, Fumba kinywa, umtoke.


Wakashangaa wote hatta wakaulizana, wakinena, Nini hii? Elimu hii mpya ni elimn gani? Maana kwa mamlaka awaamuru pepo wachafu nao wakamtii!


Wakanileta kwake: hatta alipomwona marra yule pepo akamrarua: akaanguka chini, akagaagaa, akitoka povu.


Akalia, akamrarua sana, akamtoka: akawa kama amekufa: hatta wengi wakasema, Amekufa.


lakini mwenye nguvu za kumpita yeye atakapokuja na kumshinda, amnyangʼanya silaha zake zote alizotegemea, na mateka yake ayagawanya.


na tazama, pepo humshika, nae marra hulia; tena humrarua, akatoka povu, wala hamtoki illa kwa shidda, akimchubuachubua.


Alipokuwa katika kumwendea, yule pepo akambwaga akamraruararua. Yesu akamkaripia yule pepo mchafu, akamponya yule mtoto, akamrudishia baba yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo