Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Yesu akamkaripia, akinena, Fumba kinywa, umtoke.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Yesu akamkemea huyo pepo akisema, “Nyamaza! Mtoke mtu huyu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Yesu akamkemea huyo pepo akisema, “Nyamaza! Mtoke mtu huyu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Yesu akamkemea huyo pepo akisema, “Nyamaza! Mtoke mtu huyu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Lakini Isa akamkemea, akamwamuru, “Nyamaza! Mtoke mtu huyu!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Lakini Isa akamkemea, akamwambia, “Nyamaza kimya! Nawe umtoke!”

Tazama sura Nakili




Marko 1:25
10 Marejeleo ya Msalaba  

Macho yao yakafumbuka. Yesu akawaagiza kwa nguvu, akinena, Angalieni hatta mtu mmoja asijue.


akinena, Tʼuna nini nawe, Yesu Mnazareti? umekuja kutuangamiza? Nakutambua wewe, Mtakatifu wa Mungu.


Yule pepo mchafu akamrarua, akalia kwa sauti kuu, akamtoka.


Akaponya wengi waliokuwa na maradhi nyingine nyingine, akafukuza pepo wengi, wala hakuwaacha pepo kunena, kwa sababu walimjua.


Nae Yesu akiona ya kuwa makutano yanakusanyika mbio, akamkemea yule pepo mchafu, akamwambia, Ewe pepo bubu ua kiziwi, mimi nakuamuru, mtoke, wala usimwingie tena.


Yesu akamkemea, akinena, Fumba kinywa, mtoke. Yule pepo akamwangusha katikati, akamtoka, asimdhuru.


Pepo wakawatoka wengi wakipaaza sauti zao wakisema, Wewe u Kristo, Mwana wa Mungu. Akawakemea, asiwaache kunena, kwa sababu walijua ya kuwa yeye ndiye Kristo.


Akamfuata Paolo na sisi, akipiga kelele, akisema, Watu hawa ni watumishi wa Mungu aliye juu, wenye kutukhubiri njia ya wokofu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo