Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Palikuwapo katika sunagogi yao mtu mwenye pepo mchafu; akapaaza sauti,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Mara akatokea mle ndani ya sunagogi mtu mmoja mwenye pepo mchafu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Mara akatokea mle ndani ya sunagogi mtu mmoja mwenye pepo mchafu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Mara akatokea mle ndani ya sunagogi mtu mmoja mwenye pepo mchafu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Wakati huo huo katika sinagogi lao palikuwa na mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu, naye akapaza sauti akisema,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Wakati huo huo katika sinagogi lao palikuwa na mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu,

Tazama sura Nakili




Marko 1:23
10 Marejeleo ya Msalaba  

Pepo mchafu, amtokapo mtu, hupita kati ya pahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika, asipate.


Wakashangaa kwa mafundisho yake; kwa sababu alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye mamlaka wala si kama waandishi.


akinena, Tʼuna nini nawe, Yesu Mnazareti? umekuja kutuangamiza? Nakutambua wewe, Mtakatifu wa Mungu.


Marra walipotoka katika sunagogi, wakalika nyumbani kwa Simon na Andrea, pamoja na Yakobo na Yohana.


Akaponya wengi waliokuwa na maradhi nyingine nyingine, akafukuza pepo wengi, wala hakuwaacha pepo kunena, kwa sababu walimjua.


Akawa akikhubiri katika masuuagogi yao, katika inchi yote ya Galilaya, na kufukuza pepo.


Na alipokwisha kushuka chomboni, marra akakutwa na mtu ambae ametoka makaburini, nae ana pepo mchafu, makao yake yalikuwa pale makaburini:


Kwa sababu mwanamke, ambae binti yake yuna pepo mchafu, alisikia khabari zake, akaja akamwangukia miguu.


Nae Yesu akiona ya kuwa makutano yanakusanyika mbio, akamkemea yule pepo mchafu, akamwambia, Ewe pepo bubu ua kiziwi, mimi nakuamuru, mtoke, wala usimwingie tena.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo