Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Wakashangaa kwa mafundisho yake; kwa sababu alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye mamlaka wala si kama waandishi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Watu wote waliomsikia walishangazwa na mafundisho yake, maana hakuwa anafundisha kama waalimu wao wa sheria, bali kama mtu mwenye mamlaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Watu wote waliomsikia walishangazwa na mafundisho yake, maana hakuwa anafundisha kama waalimu wao wa sheria, bali kama mtu mwenye mamlaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Watu wote waliomsikia walishangazwa na mafundisho yake, maana hakuwa anafundisha kama waalimu wao wa sheria, bali kama mtu mwenye mamlaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Watu wakashangaa sana kwa mafundisho yake, kwa maana alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye mamlaka, wala si kama walimu wa Torati.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Watu wakashangaa sana kwa mafundisho yake, kwa maana aliwafundisha kama yeye aliye na mamlaka, wala si kama walimu wa Torati.

Tazama sura Nakili




Marko 1:22
14 Marejeleo ya Msalaba  

Na alipofika inchi yake, akawafundisha katika sunagogi yao, hatta wakashangaa, wakanena, Huyu amepata wapi hekima hii na miujiza hii?


Palikuwapo katika sunagogi yao mtu mwenye pepo mchafu; akapaaza sauti,


Wote waliomsikia wakataajahu kwa akili zake na majibu yake.


Kwa maana mimi nitawapeni kinywa na hekima, ambayo watesi wenu hawataweza kuikana wala kushindana nayo.


wakashangaa mno kwa mafundisho yake, kwa sababu neno lake lilikuwa na uweza.


Wale watumishi wakajibu, Hajanena kamwe mwana Adamu aliye yote kama huyu anavyonena.


lakini hawakuweza kushindana na hekima yake wala na Roho aliyosema nayo.


lakini tumekataa mambo ya aibu yaliyosetirika, wala hatuenendi kwa ujanja, wala kulichanganya neno la Mungu na uwongo; hali kwa kuidhihirisha iliyo kweli twajionyesha kuwa na haki, dhamiri za watu zikitushuhudia mhele za Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo