Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Wakashika njia hatta Kapernaum; na siku ya sabato akaingia sunagogi, akafundisha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Wakafika mjini Kafarnaumu, na mara ilipofika Sabato, Yesu akaingia katika sunagogi, akaanza kufundisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Wakafika mjini Kafarnaumu, na mara ilipofika Sabato, Yesu akaingia katika sunagogi, akaanza kufundisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Wakafika mjini Kafarnaumu, na mara ilipofika Sabato, Yesu akaingia katika sunagogi, akaanza kufundisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Wakaenda hadi Kapernaumu. Mara ilipofika siku ya Sabato, Isa akaingia sinagogi, akaanza kufundisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Wakaenda mpaka Kapernaumu. Ilipofika siku ya Sabato, mara Isa akaingia sinagogi, akaanza kufundisha.

Tazama sura Nakili




Marko 1:21
18 Marejeleo ya Msalaba  

akatoka Nazareti, akaenda, akakaa Kapernaum, ulioko pwani, mipakani mwa Zabulon na Nafthalim:


Yesu akazunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika sunagogi zao, na kuikhubiri injili ya ufalme, na kuponya ugonjwa na udhaifu wa killi namna katika watu.


Marra akawaita: wakamwacha baba yao Zebedayo ndani ya chombo pamoja na watu wa mshahara, wakaenda, wakamfuata.


Marra walipotoka katika sunagogi, wakalika nyumbani kwa Simon na Andrea, pamoja na Yakobo na Yohana.


Na mji wote nlikuwa umekusanyika mlangoni.


Akawa akikhubiri katika masuuagogi yao, katika inchi yote ya Galilaya, na kufukuza pepo.


AKAONDOKA huko akafika mipaka ya Yahudi kwa niia ya ngʼambu ya Yardani; watu wengi wakakutanika tena wakamwendea; akawafundisha tena kama alivyozoea.


AKAINGIA Kapernaum tena, baada ya siku kadha wa kadha, ikasikiwa ya kwamba yumo nyumbani.


AKAINGIA tena katika sunagogi: na palikuwako huko mtu mwenye mkono umepooza:


Ilipokuwa sabato, akaanza kufundisha katika sunagogi: wengi wakisikia, wakashangaa, akinena, Huyu amepata wapi haya? Na, Hekima gani hii aliyopewa huyu, na nini miujiza hii mikubwa inayotendeka kwa mikono yake?


Nawe Kapernaum, wewe uliyeinuliwa hatta mhinguni, ntashushwa hatta kuzimu.


Akawa akifundisha katika sunagogi mojawapo siku ya sabato.


Akaenda Nazareti, mahali alipokuwa amelelewa: akaingia katika sunagogi siku ya sabato, kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama illi asome.


Akawaambia, Hapana shaka mtaniambia methali hii, Tabibu, jiponye nafsi yako: mambo yote tuliyosikia yametendeka Kapernaum, yatende na hapa pia katika inchi yako mwenyewe.


Na Paolo, kama ilivyokuwa desturi yake, akaingia mle walimo, akahujiana nao kwa maneno yii maandiko sabato tatu,


Akatoa hoja zake katika sunagogi killa sabato akawavuta Wayahudi na Wayunani waamini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo