Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 1:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Marra akawaita: wakamwacha baba yao Zebedayo ndani ya chombo pamoja na watu wa mshahara, wakaenda, wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Yesu akawaita mara, nao wakamwacha baba yao Zebedayo katika mashua pamoja na wafanyakazi, wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Yesu akawaita mara, nao wakamwacha baba yao Zebedayo katika mashua pamoja na wafanyakazi, wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Yesu akawaita mara, nao wakamwacha baba yao Zebedayo katika mashua pamoja na wafanyakazi, wakamfuata.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Papo hapo akawaita, nao wakamwacha Zebedayo baba yao kwenye mashua pamoja na watumishi wa kuajiriwa, nao wakamfuata Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Papo hapo akawaita, nao wakamwacha Zebedayo baba yao kwenye mashua pamoja na watumishi wa kuajiriwa, nao wakamfuata Isa.

Tazama sura Nakili

Marko 1:20
11 Marejeleo ya Msalaba  

Apendae baba au mama kuliko mimi, hanifai; na apendae mwana au binti kuliko mimi hanifai.

Akaendelea mbele kidogo, akamwona Yakobo wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake, nao pia walikuwa chomboni, wakizitengeneza nyavu zao.

Wakashika njia hatta Kapernaum; na siku ya sabato akaingia sunagogi, akafundisha.

Yesu akajibu, akasema, Amin, nawaambieni, Hapana mtu aliyeacha nyumba, au ndugu waume au ndugu wake, au baba, au mama, au mke, au watoto, au mashamba, kwa ajili yangu, au kwa ajili ya Injili,

Mtu akija kwangu, nae hamehukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na wanawe, na ndugu zake wanaume na wanawake, na uzima wake pia, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.

Na walipoleta vyombo pwani, wakaacha vyote wakamfuata.

Hatta imekuwa, sisi tangu sasa hatumjui mtu awae yote kwa jinsi ya mwili. Ingawa sisi tumemjua Kristo kwa jinsi ya mwili, sasa lakini hatumjui hivi tena.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo