Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 kama ilivyoandikwa katika chuo cha manabii, Angalia, mimi namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako, Atakaefanyiza njia yako mbele yako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Ilianza kama ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya: “Mungu alisema, ‘Namtuma mjumbe wangu akutangulie, ambaye atakutayarishia njia yako.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Ilianza kama ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya: “Mungu alisema, ‘Namtuma mjumbe wangu akutangulie, ambaye atakutayarishia njia yako.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Ilianza kama ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya: “Mungu alisema, ‘Namtuma mjumbe wangu akutangulie, ambaye atakutayarishia njia yako.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 kama ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya: “Tazama, nitamtuma mjumbe wangu mbele yako, atakayetengeneza njia mbele yako”:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Kama ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya: “Tazama, nitamtuma mjumbe wangu mbele yako, atakayetengeneza njia mbele yako”:

Tazama sura Nakili




Marko 1:2
13 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana huyo ndiye aliyeandikiwa, Tazama, mimi namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako. Atakaeitengeneza njia yako mbele yako.


Nao wakamwambia, Katika Bethlehemu ya Yahudi; kwa maana ndivyo ilivyoandikwa na nabii,


Mwana wa Adamu aenda zake, kama alivyoandikiwa: lakini ole wake mtu yule ambae Mwana wa Adamu anasalitiwa nae! Ingekuwa kheri kwake mtu yule kama asingalizaliwa.


Yesu akawaambia, Ninyi nyote mtachukizwa kwa ajili yangu usiku huu: kwa kuwa imeandikwa, Nitampiga mchunga, na kondoo wa kundi watatawanyika.


(Kama alivyosema kwa vinywa vya manabii wake watakatifu tangu mwanzo),


Na wewe nawe, Mtoto, utakwitwa nabii wake Aliye juu: Kwa maana utatangulia mbele ya uso wake Bwana ufanyize njia zake;


Bassi, Yesu akawachukua wale thenashara akawaambia, Tazameni, tunapanda kwenda Yerusalemi, na yatatimizwa mambo yote aliyoandikiwa Mwana wa Adamu na manabii.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo