Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Akaendelea mbele kidogo, akamwona Yakobo wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake, nao pia walikuwa chomboni, wakizitengeneza nyavu zao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Alipokwenda mbele kidogo, aliwaona Yakobo na Yohane, wana wa Zebedayo. Nao pia walikuwa ndani ya mashua yao wakizitengeneza nyavu zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Alipokwenda mbele kidogo, aliwaona Yakobo na Yohane, wana wa Zebedayo. Nao pia walikuwa ndani ya mashua yao wakizitengeneza nyavu zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Alipokwenda mbele kidogo, aliwaona Yakobo na Yohane, wana wa Zebedayo. Nao pia walikuwa ndani ya mashua yao wakizitengeneza nyavu zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Alipoenda mbele kidogo, akamwona Yakobo mwana wa Zebedayo na Yohana nduguye, wakiwa kwenye mashua yao wakizitengeneza nyavu zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Alipokwenda mbele kidogo, akamwona Yakobo mwana wa Zebedayo na Yohana nduguye, wakiwa kwenye mashua yao wakizitengeneza nyavu zao.

Tazama sura Nakili




Marko 1:19
11 Marejeleo ya Msalaba  

Akaendelea mbele, akaona ndugu wengine wawili. Yakob wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake, walikuwa katika chombo pamoja na Zebedayo baba yao, wakitengeneza nyavu zao; akawaita.


Marra wakaziacha nyavu zao, wakamfuata.


Marra akawaita: wakamwacha baba yao Zebedayo ndani ya chombo pamoja na watu wa mshahara, wakaenda, wakamfuata.


Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, wakamwendea, wakimwambia, Mwalimu, twataka utufanyie lo lote tutakalokuomba.


Akamchukua Petro na Yakobo na Yohana pamoja nae, akaanza kufadhaika sana na kuhangaika.


na Yakobo, mwana wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake Yakobo, akawapa jina, Boanerge, maana yake, wana wa ngurumo,


Wala hakumrukhusu mtu afuatane nae, illa Petro, na Yakobo, na Yohana ndugu yake Yakobo.


Hatta baada ya siku sita Yesu akawachukua Petro, na Yakobo, na Yohana, akawapeleka juu ya mlima mrefu kwa faragha peke yao:


Simon Petro, na Tomaso aitwae Didumo, na Nathanael wa Kana wa Galilaya, na wana wa Zebedayo, na watu wengine wawili katika wanafunzi wake, walikuwa mahali pamoja.


Hatta walipoingia, wakapanda orofani, walipokuwa wakikaa; Petro, na Yakobo, na Yohana, na Andrea, Filipo na Tomaso, Bartolomayo na Mattayo, Yakobo wa Alfayo, na Simon Zelote, na Yuda wa Yakobo.


Akamwua Yakobo ndugu wa Yohana kwa upauga.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo