Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 1:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Yesu akawaambia, Nifuateni, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Yesu akawaambia, “Nifuateni nami nitawafanya nyinyi kuwa wavuvi wa watu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Yesu akawaambia, “Nifuateni nami nitawafanya nyinyi kuwa wavuvi wa watu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Yesu akawaambia, “Nifuateni nami nitawafanya nyinyi kuwa wavuvi wa watu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Isa akawaambia, “Njooni, nifuateni nami nitawafanya mwe wavuvi wa watu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Isa akawaambia, “Njooni, nifuateni nami nitawafanya mwe wavuvi wa watu.”

Tazama sura Nakili

Marko 1:17
6 Marejeleo ya Msalaba  

Nae akipita kando ya bahari ya Galilaya, akamwona Simon na Andrea ndugu yake, wakitupa jarife baharini; kwa maana walikuwa wavuvi.

Marra wakaziacha nyavu zao, wakamfuata.

Kadhalika Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, waliokuwa washiriki wa Simon, Yesu akamwambia Simon, Usiogope; tangu sasa utakuwa ukivua watu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo