Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Nae akipita kando ya bahari ya Galilaya, akamwona Simon na Andrea ndugu yake, wakitupa jarife baharini; kwa maana walikuwa wavuvi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Alipokuwa anapita kando ya ziwa Galilaya, aliwaona wavuvi wawili: Simoni na Andrea ndugu yake wakivua samaki kwa wavu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Alipokuwa anapita kando ya ziwa Galilaya, aliwaona wavuvi wawili: Simoni na Andrea ndugu yake wakivua samaki kwa wavu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Alipokuwa anapita kando ya ziwa Galilaya, aliwaona wavuvi wawili: Simoni na Andrea ndugu yake wakivua samaki kwa wavu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Isa alipokuwa akitembea kando ya Bahari ya Galilaya, aliwaona Simoni na Andrea nduguye wakizitupa nyavu zao baharini, kwa kuwa walikuwa wavuvi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Isa alipokuwa akitembea kando ya Bahari ya Galilaya, aliwaona Simoni na Andrea nduguye wakizitupa nyavu zao baharini, kwa kuwa wao walikuwa wavuvi.

Tazama sura Nakili




Marko 1:16
11 Marejeleo ya Msalaba  

Na majina ya mitume thenashara ni haya: Wa kwanza Simon aliyekwitwa Petro, na Andrea ndugu yake; Yakobo wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake;


Na Simon akampa jina, Petro;


na Andrea, na Filipo, na Bartolomayo, na Mattayo, na Tomaso, na Yakobo wa Alfayo, na Thaddayo na Simon Mkanani,


Simon ambae alimpa jina la pili Petro, na Andrea, ndugu yake; Yakobo na Yohana, Filipo na Bartholomayo.


Filipo akaenda, akamwambia Andrea; kiisha Andrea na Filipo wakamwambia Yesu.


Mmoja wa wanafunzi wake, Andrea, ndugu wa Simon Petro, akamwambia,


Hatta walipoingia, wakapanda orofani, walipokuwa wakikaa; Petro, na Yakobo, na Yohana, na Andrea, Filipo na Tomaso, Bartolomayo na Mattayo, Yakobo wa Alfayo, na Simon Zelote, na Yuda wa Yakobo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo