Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 akineua, Wakati umetimia, na ufalme wa Muugu umekaribia; tubuni, kaiaminim injili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 “Wakati umetimia, na ufalme wa Mungu umekaribia. Tubuni na kuiamini Habari Njema!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 “Wakati umetimia, na ufalme wa Mungu umekaribia. Tubuni na kuiamini Habari Njema!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 “Wakati umetimia, na ufalme wa Mungu umekaribia. Tubuni na kuiamini Habari Njema!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 akisema, “Wakati umetimia, ufalme wa Mungu umekaribia. Tubuni na kuiamini Injili.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 akisema, “Wakati umewadia, Ufalme wa Mwenyezi Mungu umekaribia. Tubuni na kuiamini Habari Njema.”

Tazama sura Nakili




Marko 1:15
17 Marejeleo ya Msalaba  

Na katika kuenenda kwenu, khubirini, nikinena, Ufalme wa mbinguni umekaribia.


Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.


Tokea wakati huo Yesu akaanza kukhubiri, na kusema, Tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia.


Hatta mavumbi haya ya mji wenu, yaliyogandamana nasi, twayakungʼuta juu yenu: illakini jueni haya, ya kuwa ufalme wa Mungu umewakaribieni.


Waponyeni wagonjwa waliomo, waambieni ya kama, Ufalme wa Mungu umewakaribieni.


na mataifa yote wakhubiriwe kwa jina lake toba na ondoleo la dhambi, kuanzia Yerusalemi.


nikiwashuhudia Wayahudi na Wayunani toba iliyo kwa Mungu, na imani iliyo kwa Bwana wetu Yesu Kristo.


ikadhihirishwa wakati huu kwa maandiko ya manabii, ikajulika na mataifa yote kama alivyoamuru Mungu wa milele, illi waitii imani;


Hatta ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwana wake, amezaliwa na mwanamke, amezaliwa chini ya sharia,


ya kwamba wakati mkamilifu utakapowadia atajumlisha vitu vyote viwe umoja katika Kristo, vitu vilivyo mbinguni, navyo vilivyo duniani, katika yeye huyu:


aliyejitoa nafsi yake kuwa ukombozi kwa ajili ya wote utakaoshuhudiwa kwa majira yake;


akalifunua neno lake kwa nyakati zake katika ule ujumbe nilioaminiwa mimi kwa amri ya Mwokozi wetu, Mungu:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo