Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Akawako huko jangwani siku arubaini, akijaribiwa na Shetani; nae alikuwa pamoja na nyama wakali, na malaika walikuwa wakimkhudumia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 akakaa huko siku arubaini akijaribiwa na Shetani. Alikuwa huko pamoja na wanyama wa porini, nao malaika wakawa wanamhudumia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 akakaa huko siku arubaini akijaribiwa na Shetani. Alikuwa huko pamoja na wanyama wa porini, nao malaika wakawa wanamhudumia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 akakaa huko siku arubaini akijaribiwa na Shetani. Alikuwa huko pamoja na wanyama wa porini, nao malaika wakawa wanamhudumia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 naye Isa akawa huko nyikani kwa muda wa siku arobaini, akijaribiwa na Shetani. Alikaa na wanyama pori, nao malaika wakamhudumia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 naye akawa huko nyikani kwa muda wa siku arobaini, akijaribiwa na Shetani. Alikaa na wanyama wa mwituni, nao malaika wakamhudumia.

Tazama sura Nakili




Marko 1:13
13 Marejeleo ya Msalaba  

Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu sasa hivi, akaniletea zaidi ya majeshi thenashara ya malaika?


NDIPO Yesu alipopandishwa na Roho hatta jangwani, illi ajaribiwe na Shetani.


NA Yesu, akijaa Roho Mtakatifu, akarudi kutoka Yordani: akaongozwa na Roho kwenda jangwani, akijaribiwa na Shetani muda wa siku arubaini.


Na bila shaka siri ya utawa ni kuu. Mungu alidhibirishwa katika mwili, alihesabiwa kuwa na wema katika roho, alionekana na malaika, alikhubiriwa katika mataifa, aliaminiwa katika ulimwengu, alichukuliwa juu katika utukufu.


Kwa kuwa hatuna kuhani mkuu asiyeweza kuyachukua mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijuribiwa sawa sawa na sisi katika mambo yote, bila dhambi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo