Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 1:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Marra akapanda kutoka majini, akaona mbingu zinapasuka, na Roho, kwa mfano wa hua, akishuka juu yake;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Mara tu alipotoka majini, aliona mbingu zimefunguliwa, na Roho akishuka juu yake kama njiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Mara tu alipotoka majini, aliona mbingu zimefunguliwa, na Roho akishuka juu yake kama njiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Mara tu alipotoka majini, aliona mbingu zimefunguliwa, na Roho akishuka juu yake kama njiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Isa alipokuwa akitoka ndani ya maji, aliona mbingu zikifunguka na Roho wa Mungu akishuka juu yake kama hua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Isa alipokuwa akitoka ndani ya maji, aliona mbingu zikifunguka na Roho akishuka juu yake kama hua.

Tazama sura Nakili




Marko 1:10
8 Marejeleo ya Msalaba  

Nae Yesu alipokwisha kubatizwa marra akapanda kutoka majini: mbingu zikamfunukia, akamwona Roho ya Mungu akishuka kama hua, akija juu yake:


sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe Mwana wangu mpendwa, ndiwe unipendezae.


Tena, siku zile, alikuja Yesu kutoka Nazareti ya Galilaya, akabatizwa na Yohana katika Yardani.


Roho Mtakatifu akashuka juu yake kwa mfano wa kiwiliwili kama hua, sauti ikatoka mbinguni, Wewe ndiwe mwana wangu, mpendwa wangu, ndiwe unipendezae.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo