Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 9:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Herode akasema, Yohana nimemkata kichwa: bassi, nani huyu ambae ninasikia khabari zake za namna hii? Akatafuta kumwona.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Lakini Herode akasema, “Huyo Yohane nilimkata kichwa; sasa ni nani huyu ninayesikia habari zake?” Akawa na hamu ya kumwona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Lakini Herode akasema, “Huyo Yohane nilimkata kichwa; sasa ni nani huyu ninayesikia habari zake?” Akawa na hamu ya kumwona.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Lakini Herode akasema, “Huyo Yohane nilimkata kichwa; sasa ni nani huyu ninayesikia habari zake?” Akawa na hamu ya kumwona.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Herode akasema, “Yahya nilimkata kichwa. Lakini ni nani huyu ninayesikia mambo kama haya kumhusu?” Akatamani sana kumwona.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Herode akasema, “Yahya nilimkata kichwa. Lakini ni nani huyu ambaye ninasikia mambo kama haya kumhusu?” Akatamani sana kumwona.

Tazama sura Nakili

Luka 9:9
3 Marejeleo ya Msalaba  

wala Herode nae; kwa maana naliwapelekeni kwake, wala hapana neno la kustahili kufa lililotendwa nae.

Na Herode alipomwona Yesu, akafurahiwa sana: kwa kuwa tangu zamani alikuwa akitaka kumwona, kwa sababu amesikia mambo yake; akataraja kuona ishara inafanyika nae.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo