Luka 9:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 na wengine kwamba Eliya ametokea: na wengine kwamba nabii mmoja katika wale wa kale amefufuka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Wengine walisema kwamba Elia ametokea, na wengine walisema kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amerudi duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Wengine walisema kwamba Elia ametokea, na wengine walisema kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amerudi duniani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Wengine walisema kwamba Elia ametokea, na wengine walisema kwamba mmojawapo wa manabii wa kale amerudi duniani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Wengine wakasema Ilya amewatokea, na wengine kwamba mmoja wa manabii wa kale amefufuka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Wengine wakasema Ilya amewatokea, na wengine wakasema kwamba mmoja wa manabii wa kale amefufuka. Tazama sura |