Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 9:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Hatta Herode tetrarka akasikia yote yaliyotendwa nae, akaona mashaka, kwa kuwa wengine walisema kwamba Yohana amefufuka katika wafu:

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Sasa, mtawala Herode alipata habari za mambo yote yaliyokuwa yanatendeka, akawa na wasiwasi kwa vile walikuwa wakisema: “Yohane amefufuka kutoka kwa wafu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Sasa, mtawala Herode alipata habari za mambo yote yaliyokuwa yanatendeka, akawa na wasiwasi kwa vile walikuwa wakisema: “Yohane amefufuka kutoka kwa wafu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Sasa, mtawala Herode alipata habari za mambo yote yaliyokuwa yanatendeka, akawa na wasiwasi kwa vile walikuwa wakisema: “Yohane amefufuka kutoka kwa wafu!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Basi Mfalme Herode, mtawala wa Galilaya, alisikia habari za yote yaliyotendeka. Naye akafadhaika, kwa kuwa baadhi ya watu walikuwa wakisema Yahya amefufuliwa kutoka kwa wafu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Basi Mfalme Herode, mtawala wa Galilaya, alisikia habari za yote yaliyotendeka. Naye akafadhaika, kwa kuwa baadhi ya watu walikuwa wakisema Yahya amefufuliwa kutoka kwa wafu.

Tazama sura Nakili

Luka 9:7
13 Marejeleo ya Msalaba  

Nae Yohana aliposikia huko gerezani matendo yake Kristo, alituma wawili katika wanafunzi wake, kumwambia,

Wakamjibu, Yohana Mbatizaji; wengine Eliya; wengine mmojawapo wa manabii.

Siku ile ile baadhi ya Mafarisayo wakamwendea, wakamwambia, Ondoka hapa, ukaende zako: kwa maana Herode anataka kukuua.

Na kutakuwa ishara katika jua na mwezi na nyota: na katika inchi dhiiki ya mataifa, wakishangaa kwa uvumi wa bahari na msukosuko wake;

Alipojua ni chini ya mamlaka ya Herode, akampeleka kwa Herode; nae alikuwa katika Yerusalemi siku zile.

HATTA katika mwaka wa kumi na tano wa kutawala kwake Tiberio Kaisari, Pontio Pilato alipokuwa liwali wa Yahudi, na Herode tetrarka wa Galilaya, na Filipo ndugu yake tetrarka wa Iturea, na wa inchi ya Trakoniti, na Lusania tetrarka wa Abilene,

Wakajibu, wakasema, Yohana Mbatizaji: na wengine, Eliya: na wengine kwamba nabii mmoja katika wale wa kale amefufuka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo