Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 9:62 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

62 Yesu akamwambia, Hakuna mtu aliyetia mkono wake alime, khalafu akatazama nyuma, afaae kwa ufalme wa Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

62 Yesu akamwambia, “Yeyote anayeshika jembe tayari kulima na huku anaangalia nyuma, hafai kwa ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

62 Yesu akamwambia, “Yeyote anayeshika jembe tayari kulima na huku anaangalia nyuma, hafai kwa ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

62 Yesu akamwambia, “Yeyote anayeshika jembe tayari kulima na huku anaangalia nyuma, hafai kwa ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

62 Isa akamwambia, “Mtu yeyote ashikaye jembe kulima kisha akatazama nyuma hafai kwa ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

62 Isa akamwambia, “Mtu yeyote atiaye mkono wake kulima, kisha akatazama nyuma, hafai kwa Ufalme wa Mwenyezi Mungu.”

Tazama sura Nakili




Luka 9:62
9 Marejeleo ya Msalaba  

Ndugu, sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika; illa natenda kitu kimoja tu; nikiyasahau yaliyo nyuma, nikiyachuchumilia yaliyo mbele,


maana Dema aliniacha, akiupenda ulimwengu wa sasa, akasafiri kwenda Thessaloniki; Kreske Galatia, Tito Daimatia.


Lakini mwenye haki ataishi kwa imani; nae akisitasita, roho yangu haina furaha nae.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo