Luka 9:61 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192161 Na mwingine nae akasema, Nitakufuata, Bwana, lakini kwanza nipe rukhusa nikawaage watu wa nyumbani mwangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema61 Na mtu mwingine akamwambia, “Nitakufuata, lakini niruhusu kwanza nikawaage wale walio nyumbani kwangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND61 Na mtu mwingine akamwambia, “Nitakufuata, lakini niruhusu kwanza nikawaage wale walio nyumbani kwangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza61 Na mtu mwingine akamwambia, “Nitakufuata, lakini niruhusu kwanza nikawaage wale walio nyumbani kwangu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu61 Mtu mwingine akamwambia, “Bwana, nitakufuata lakini naomba kwanza nikawaage jamaa zangu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu61 Mtu mwingine akamwambia, “Bwana, nitakufuata, lakini naomba kwanza nikawaage jamaa yangu.” Tazama sura |