Luka 9:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Wakaenda zao, wakazunguka katika vijiji, wakiikhubiri injili, na kuponya watu killa pahali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Basi, wakaanza safari, wakapitia vijijini wakihubiri Habari Njema na kuponya wagonjwa kila mahali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Basi, wakaanza safari, wakapitia vijijini wakihubiri Habari Njema na kuponya wagonjwa kila mahali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Basi, wakaanza safari, wakapitia vijijini wakihubiri Habari Njema na kuponya wagonjwa kila mahali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Hivyo wale wanafunzi wakaondoka wakaenda kutoka kijiji hadi kijiji, wakihubiri habari njema na kuponya wagonjwa kila mahali. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Hivyo wale wanafunzi wakaondoka wakaenda kutoka kijiji hadi kijiji, wakihubiri habari njema na kuponya wagonjwa kila mahali. Tazama sura |