Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 9:59 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

59 Akamwambia mwingine, Nifuate. Akasema, Bwana, nipe rukhusa niende kwanza, nikamzike baba yangu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

59 Kisha akamwambia mtu mwingine, “Nifuate.” Lakini huyo akasema, “Bwana, niruhusu kwanza niende kumzika baba yangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

59 Kisha akamwambia mtu mwingine, “Nifuate.” Lakini huyo akasema, “Bwana, niruhusu kwanza niende kumzika baba yangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

59 Kisha akamwambia mtu mwingine, “Nifuate.” Lakini huyo akasema, “Bwana, niruhusu kwanza niende kumzika baba yangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

59 Isa akamwambia mtu mwingine, “Nifuate.” Mtu huyo akamjibu, “Bwana, niruhusu kwanza nikamzike baba yangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

59 Isa akamwambia mtu mwingine, “Nifuate.” Mtu huyo akamjibu, “Bwana, niruhusu kwanza nikamzike baba yangu.”

Tazama sura Nakili

Luka 9:59
8 Marejeleo ya Msalaba  

Wakati huo Yesu aliwaambia wanafunzi wake, Mtu atakae kuandama nyuma yangu, ajikane nafsi yake, ajitwike msalaba wake, anifuate.

Bali utafuteni kwanza ufalme wa Mungu, na haki yake; na haya yote mtazidishiwa.

Yesu alipokuwa anaondoka kutoka huko akaona mtu amekeli fordhani, aitwae Mattayo, akamwambia, Nifuate. Akaondoka, akamfuata.

Akamwambia, Waache wafu wazike wafu wao, bali wewe enenda zako ukautangaze ufalme wa Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo