Luka 9:57 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192157 Na walipokuwa wakienda njiani, mtu mmoja akamwambia, Nitakufuata ko kote uendako, Bwana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema57 Walipokuwa wakisafiri njiani, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote utakakokwenda.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND57 Walipokuwa wakisafiri njiani, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote utakakokwenda.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza57 Walipokuwa wakisafiri njiani, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote utakakokwenda.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu57 Walipokuwa njiani wakienda, mtu mmoja akamwambia Isa, “Nitakufuata popote utakakoenda.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu57 Walipokuwa njiani wakienda, mtu mmoja akamwambia Isa, “Nitakufuata kokote uendako.” Tazama sura |