Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 9:55 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

55 Akageuka, akawakaripia, akasema, Hamjui ni moyo wa namna gani mlio nao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

55 Lakini yeye akawageukia, akawakemea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

55 Lakini yeye akawageukia, akawakemea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

55 Lakini yeye akawageukia, akawakemea.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

55 Isa akageuka na kuwakemea.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

55 Isa akageuka na kuwakemea,

Tazama sura Nakili




Luka 9:55
24 Marejeleo ya Msalaba  

Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u chukizo kwangu: maana huyawazi mambo ya Mungu, bali yaliyo ya wana Adamu.


Petro akajibu, akamwambia, Wajapochukizwa wote kwa ajili yako, mimi sitachukizwa kabisa.


Kesheni, kaombeni, msije mkaingia majaribuni: Roho ina nia njema, bali mwili ni dhaifu.


Mmoja wao waliokuwa pamoja na Yesu akanyosha mkono wake, akaufuta upanga wake, akampiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio.


Wanafunzi wake Yokobo na Yohana walipoona haya, wakasema, Bwana, wataka tuambie moto ushuke kutoka mbinguni uwaangamize, kama na Eliya alivyofanya?


Maana Mwana wa Adamu hakuja kuziangamiza roho za wana Adamu, bali kuziokoa. Wakaenda zao hatta mji mwingine.


Kiva khabari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi;


Katika kinywa kile kile hutoka baraka na laana. Ndugu zangu, mambo haya hayapasi kuwa hivyo.


watu wasiolipa baya badala ya baya, au laumu badala ya laumu; bali wabarikio; kwa sababu ndiyo mlioitiwa illi mrithi baraka.


Mimi nawakemea wote niwapendao, na kuwarudi: bassi uwe na bidii, ukatubu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo