Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 9:54 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

54 Wanafunzi wake Yokobo na Yohana walipoona haya, wakasema, Bwana, wataka tuambie moto ushuke kutoka mbinguni uwaangamize, kama na Eliya alivyofanya?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

54 Basi, wanafunzi wake, kina Yohane na Yakobo, walipoona hayo, wakasema, “Bwana, wataka tuamuru moto ushuke kutoka mbinguni uwateketeze?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

54 Basi, wanafunzi wake, kina Yohane na Yakobo, walipoona hayo, wakasema, “Bwana, wataka tuamuru moto ushuke kutoka mbinguni uwateketeze?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

54 Basi, wanafunzi wake, kina Yohane na Yakobo, walipoona hayo, wakasema, “Bwana, wataka tuamuru moto ushuke kutoka mbinguni uwateketeze?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

54 Wanafunzi wake, yaani Yakobo na Yohana, walipoona hayo, wakasema: “Bwana Isa, unataka tuagize moto kutoka mbinguni ili uwaangamize?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

54 Wanafunzi wake, yaani Yakobo na Yohana, walipoona hayo, wakasema: “Bwana Isa, unataka tuagize moto kutoka mbinguni ili uwaangamize?”

Tazama sura Nakili

Luka 9:54
14 Marejeleo ya Msalaba  

na Yakobo, mwana wa Zebedayo, na Yohana ndugu yake Yakobo, akawapa jina, Boanerge, maana yake, wana wa ngurumo,

Akageuka, akawakaripia, akasema, Hamjui ni moyo wa namna gani mlio nao.

Nae afanya ishara kubwa, hatta afanye moto kushunka kutoka mbinguni juu ya inchi mbele ya wana Adamu.

Nikaona kimoja cha vichwa vyake kana kwamba kimejeruhi jeraha ya mauti. Pigo lake la mauti likaponywa, dunia yote ikastaajabu nyama ya nyama yule.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo