Luka 9:53 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192153 Nao hawakumkaribisha, kwa sababu nso wake ameuelekeza kwenda Yerusalemi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema53 Lakini wenyeji wa hapo hawakutaka kumpokea kwa sababu alikuwa anaelekea Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND53 Lakini wenyeji wa hapo hawakutaka kumpokea kwa sababu alikuwa anaelekea Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza53 Lakini wenyeji wa hapo hawakutaka kumpokea kwa sababu alikuwa anaelekea Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu53 lakini watu wa kijiji kile hawakumkaribisha kwa sababu alikuwa anaenda zake Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu53 lakini watu wa kijiji kile hawakumkaribisha kwa sababu alikuwa anakwenda zake Yerusalemu. Tazama sura |