Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 9:43 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

43 Watu wote wakashangaa kwa adhama yake Mungu. Hatta wote walipokuwa wakistaajabia mambo yote aliyoyafanya akawaambia wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Watu wote wakashangazwa na uwezo mkuu wa Mungu. Wale watu walipokuwa bado wanashangaa juu ya mambo yote aliyofanya, Yesu aliwaambia wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Watu wote wakashangazwa na uwezo mkuu wa Mungu. Wale watu walipokuwa bado wanashangaa juu ya mambo yote aliyofanya, Yesu aliwaambia wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Watu wote wakashangazwa na uwezo mkuu wa Mungu. Wale watu walipokuwa bado wanashangaa juu ya mambo yote aliyofanya, Yesu aliwaambia wanafunzi wake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Watu wote wakastaajabia uweza mkuu wa Mungu. Wakati bado watu walikuwa wanastaajabia hayo yote aliyokuwa akiyafanya Isa, yeye akawaambia wanafunzi wake:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Watu wote wakastaajabia uweza mkuu wa Mungu. Wakati bado watu walikuwa wanastaajabia hayo yote aliyokuwa akiyafanya Isa, yeye akawaambia wanafunzi wake:

Tazama sura Nakili

Luka 9:43
14 Marejeleo ya Msalaba  

Walipokuwa wakikaa Galilaya, Yesu akawaambia, Mwana wa Adamu karibu atatiwa mikononi mwa watu,

Akapanda mle cbomboni walimo; npepo ukakoma; wakashangaa sana, kupita kiasi, wakastaajabu;

Marra akapata kuona, akamfuata, akimtukuza Mungu; na watu wote walipoona wakampa Mungu sifa.

Ushangao ukawashika wote, wakaambiana wao kwa wao, wakinena, Neno gani hili, maana kwa mamlaka na uweza awaamuru pepo wachafu, nao watoka?

Ushangao ukawashika wote wakamtukuza Mungu: wakajaa khofu, wakinena, Tumeona maajabu leo.

Kwa maana ushangao umemshika yeye, na wote waliokuwako pamoja nae, kwa uvuvi wa samaki walioupata.

Akawaambia, Imani yenu iko wapi? Wakaogopa, wakastaajabu, wakasemezana, Huyu ni nani, bassi, kwa kuwa hatta upepo na bahari aviamuru vikamtii?

Alipokuwa katika kumwendea, yule pepo akambwaga akamraruararua. Yesu akamkaripia yule pepo mchafu, akamponya yule mtoto, akamrudishia baba yake.

Maana hatukufuata hadithi zilozotungwa kwa werevu, tulipowajulislia ninyi nguvu zake Bwana wetu Yesu Kristo na kuja kwake; bali tulikuwa mashahidi wa ukuu wake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo