Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 9:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Na tazama, mtu mmoja katika ule mkutano akapaaza sauti yake, akisema, Mwalimu, nakuomha, mwangalie mwanangu, kwa kuwa yeye ni mwanangu pekee;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Hapo, mtu mmoja katika lile kundi akapaza sauti, akasema, “Mwalimu! Ninakusihi umwangalie mwanangu-mwanangu wa pekee!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Hapo, mtu mmoja katika lile kundi akapaza sauti, akasema, “Mwalimu! Ninakusihi umwangalie mwanangu-mwanangu wa pekee!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Hapo, mtu mmoja katika lile kundi akapaza sauti, akasema, “Mwalimu! Ninakusihi umwangalie mwanangu-mwanangu wa pekee!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Mtu mmoja katika umati ule akapaza sauti, akasema, “Mwalimu, naomba umwangalie mwanangu, kwani ndiye mtoto wangu wa pekee.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Mtu mmoja katika ule umati wa watu akapaza sauti, akasema, “Mwalimu, naomba umwangalie mwanangu, kwani ndiye mtoto wangu wa pekee.

Tazama sura Nakili




Luka 9:38
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na mwanamke Mkauanaya wa mipaka ile akatokea, akampaazia sauti, akinena, Unirehemu. Bwana, Mwana wa Daud; binti yangu amepagawa sana na pepo.


Bassi, alipokaribia lango la mji, hapo palikuwa na maiti anachukuliwa nje, mwana pekee wa mama yake, nae mjane; na watu wa mji wengi pamoja nae.


Ikawa siku ya pili yake, waliposhuka mlimani, mkutano mkuu wakakutana nae.


na tazama, pepo humshika, nae marra hulia; tena humrarua, akatoka povu, wala hamtoki illa kwa shidda, akimchubuachubua.


Huyu aliposikia ya kwamba Yesu amekuja kutoka Yahudi hatta Galilaya, akamwendea, akamsihi ashuke akamponye mwana wake; kwa maana alikuwa kufani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo