Luka 9:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192134 Hatta alipokuwa akisema haya likawako wingu, likawatia uvuli; wakaogopa walipoingia katika lile wingu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Petro alipokuwa akisema hayo, mara wingu likatokea na kuwafunika; na wingu hilo lilipowajia, wale wanafunzi waliogopa sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Petro alipokuwa akisema hayo, mara wingu likatokea na kuwafunika; na wingu hilo lilipowajia, wale wanafunzi waliogopa sana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Petro alipokuwa akisema hayo, mara wingu likatokea na kuwafunika; na wingu hilo lilipowajia, wale wanafunzi waliogopa sana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Alipokuwa bado anazungumza, pakatokea wingu, likawafunika, nao wakaogopa walipoingia mle kwenye wingu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Alipokuwa bado anazungumza, pakatokea wingu, likawafunika, nao wakaogopa walipoingia mle kwenye wingu. Tazama sura |