Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 9:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Hatta baada ya maneno haya, panapo siku nane, akamchukua Petro na Yohana na Yakobo, akapanda mlimani kusali.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Yapata siku nane baada ya kusema hayo, Yesu aliwachukua Petro, Yohane na Yakobo, akaenda nao mlimani kusali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Yapata siku nane baada ya kusema hayo, Yesu aliwachukua Petro, Yohane na Yakobo, akaenda nao mlimani kusali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Yapata siku nane baada ya kusema hayo, Yesu aliwachukua Petro, Yohane na Yakobo, akaenda nao mlimani kusali.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Yapata siku nane baada ya Isa kusema hayo, aliwachukua Petro, Yohana na Yakobo, akaenda nao mlimani kuomba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Yapata siku nane baada ya Isa kusema hayo, aliwachukua Petro, Yakobo na Yohana, akaenda nao mlimani kuomba.

Tazama sura Nakili




Luka 9:28
18 Marejeleo ya Msalaba  

Alipokwisha kuwaaga makutano, akapanda mlimani kwa faragha, kwenda kusali. Na ilipokuwa jioni, alikuwako huko peke yake.


NAE akivaona makutano, akapanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake wakamjia;


Hatta alfajiri na mapema sana, akaondoka, akatoka akaenda zake mahali pasipo watu akasali huko.


Hatta alipokwisha kuagana nao akaenda zake mlimani kusali.


Na watu wote walipokwisha kubatizwa, na Yesu nae akiisha kubatizwa, na akisali, mbingu zilifunuka.


Lakini yeye alikuwa akijitenga jangwani na kusali.


Ikawa katika siku zile akaomloka akaenda mlimani kuomba, akashinda usiku kucha, akimwomba Mungu.


Alipofika nyumbani, hakumwacha mtu aingie pamoja nae, illa Petro, na Yakobo na Yohana, na baba yake yule kijana na mama yake. Na watu wote walikuwa wakilia, wakimwombolezea.


Ikawra alipokuwa akisali peke yake wanafunzi wake walikuwa pamoja nae: akawanliza, akisema, Makutano huninena mimi kuwa nani?


Yesu akapanda mlimani, akaketi huko pamoja na wanafunzi wake.


HII ndio marra ya tatu ya mimi kuja kwenu. Kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu killa neno litathubutishwa.


Yeye siku hizo za niwili wake alimtolea yeye awezae kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa sababu ya kicho chake;


Maana hatukufuata hadithi zilozotungwa kwa werevu, tulipowajulislia ninyi nguvu zake Bwana wetu Yesu Kristo na kuja kwake; bali tulikuwa mashahidi wa ukuu wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo