Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 9:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Kwa maana mtu akitaka kuisalimisha roho yake ataiangamiza, nae atakae kuitoa roho yake kwa ajili yangu, huyu ataisalimisha.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Maana, mtu anayetaka kuyaokoa maisha yake mwenyewe, atayapoteza; lakini anayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayaokoa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Maana, mtu anayetaka kuyaokoa maisha yake mwenyewe, atayapoteza; lakini anayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayaokoa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Maana, mtu anayetaka kuyaokoa maisha yake mwenyewe, atayapoteza; lakini anayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayaokoa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Kwa maana yeyote anayetaka kuyaokoa maisha yake atayapoteza, lakini yeyote atakayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu atayaokoa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Kwa maana yeyote anayetaka kuyaokoa maisha yake atayapoteza, lakini yeyote atakayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu atayaokoa.

Tazama sura Nakili

Luka 9:24
8 Marejeleo ya Msalaba  

Anaeipata roho yake ataiangamiza; nae anaeitoa roho yake kwa ajili yangu ataipata.

Mtu ye yote atakaeisalimisha roho yake ataiangamiza, na mtu ye yote atakaeitoa ataihifadhi.

Aipendae roho yake ataiangamiza; nae aichukiae roho yake katika ulimwengu huu ataihifadhi hatta uzima wa milele.

Wanawake walipokea wafu wao waliofufuliwa: na wengine walibanwa, wasiukubali ukombozi, wapate ufufuo ulio bora:

Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; wala hawakupenda maisha yao hatta wakati wa kufa.

Usiogope mambo yatakavokupata: tazama mshitaki atawatupa baadhi yenu gerezani illi mjaribiwe, nanyi mtakuwa na mateso siku kumi. Uwe mwaminifu hatta kufa, nami nitakupa taji ya uzima.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo