Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 9:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Akawatuma kuukhubiri ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Halafu akawatuma waende kuhubiri ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Halafu akawatuma waende kuhubiri ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Halafu akawatuma waende kuhubiri ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 kisha akawatuma waende wakahubiri ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 kisha akawatuma waende wakahubiri Ufalme wa Mwenyezi Mungu na kuponya wagonjwa.

Tazama sura Nakili




Luka 9:2
14 Marejeleo ya Msalaba  

Hawa thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akinena, Katika njia ya Mataifa msiende, wala mjini mwa Wasamaria msiingie:


Killa alisikiae neno la ufalme asifahamu, huja yule mwovu, akaliteka lililopandwa moyoni mwake. Huyu ndiye aliyepandwa njiani.


Na injili hii ya ufalme itakhubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; ndipo ule mwisho utakapokuja.


Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.


Akawaambia, Enendem nlimwenguni mwote, mkaikhubiri injili kwa killa kiumbe.


Wakatoka, wakakhubiri kwamba watu watubu.


BASSI baada ya mambo haya Bwana akachagua wengine sabaini, akawatuma wawili wawili wamtangulie kwenda killa mji na pahali atakakokwenda mwenyewe.


Hatta mavumbi haya ya mji wenu, yaliyogandamana nasi, twayakungʼuta juu yenu: illakini jueni haya, ya kuwa ufalme wa Mungu umewakaribieni.


Waponyeni wagonjwa waliomo, waambieni ya kama, Ufalme wa Mungu umewakaribieni.


Torati na manabii zilikuwako mpaka Yohana. Tangu wakati ule, khabari njema ya ufalme wa Mungu inakhubiriwa, na killa mtu anauingia kwa nguvu.


Namakutano walipojua wakamfuata: akawakaribisha, akanena nao khabari za ufalme wa Mungu, akawaponya waliokuwa na haja ya kuponywa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo