Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 9:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Wakajibu, wakasema, Yohana Mbatizaji: na wengine, Eliya: na wengine kwamba nabii mmoja katika wale wa kale amefufuka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Nao wakamjibu, “Wengine wanasema kuwa wewe ni Yohane Mbatizaji; wengine, Elia; wengine, mmojawapo wa manabii wa kale ambaye amefufuka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Nao wakamjibu, “Wengine wanasema kuwa wewe ni Yohane Mbatizaji; wengine, Elia; wengine, mmojawapo wa manabii wa kale ambaye amefufuka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Nao wakamjibu, “Wengine wanasema kuwa wewe ni Yohane Mbatizaji; wengine, Elia; wengine, mmojawapo wa manabii wa kale ambaye amefufuka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Wakamjibu, “Baadhi husema wewe ni Yahya, wengine husema ni Ilya, na wengine husema kwamba ni mmoja wa manabii wa kale amefufuka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Wakamjibu, “Baadhi husema wewe ni Yahya, wengine husema ni Ilya, na bado wengine husema kwamba ni mmoja wa manabii wa kale amefufuka kutoka kwa wafu.”

Tazama sura Nakili




Luka 9:19
12 Marejeleo ya Msalaba  

akawaambia watumishi wake, Huyu ndiye Yohana Mbatizaji; amefufuka katika wafu; na kwa sababu hii nguvu hizo zinatenda kazi ndani yake.


SIKU zile akaondokea Yohana Mbatizaji akikhubiri katika jangwa ya Yahudi, akinena,


Mfalme Herode akasikia khabari; kwa maana jina lake limepata kutangaa, akanena, Yohana Mbatizaji amefufuka, na kwa hiyo nguvu hizi zinatenda kazi ndani yake. Wengine walinena, Yu Eliya.


Wengine walinena, Huyu ni nabii au kama mmoja wa manabii.


Ikawra alipokuwa akisali peke yake wanafunzi wake walikuwa pamoja nae: akawanliza, akisema, Makutano huninena mimi kuwa nani?


Akawaambia, Na ninyi mwaninena mimi kuwa nani?


Wakamwuliza, Nini bassi? U Eliya wewe? Akanena, Mimi siye. Wewe u nabii yule? Akajibu, La.


Wakamwuliza, wakimwambia, Mbona bassi wabatiza, kama wewe si Kristo, wala Eliya, wala nabii yule?


Bassi watu wengi katika makutano waliposikia neno lile, walinena, Huyu hakika yake ndiye nabii yule.


Kukawa matangukano kati yao. Bassi wakamwambia yule kipofu marra ya pili, Wewe unasema nini katika khabari zake kwa kuwa alikufumbua macho? Akasema, Yu nabii.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo