Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 9:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Ikawra alipokuwa akisali peke yake wanafunzi wake walikuwa pamoja nae: akawanliza, akisema, Makutano huninena mimi kuwa nani?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Siku moja, Yesu alikuwa anasali peke yake, na wanafunzi wake walikuwa karibu. Basi, akawauliza, “Watu wanasema mimi ni nani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Siku moja, Yesu alikuwa anasali peke yake, na wanafunzi wake walikuwa karibu. Basi, akawauliza, “Watu wanasema mimi ni nani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Siku moja, Yesu alikuwa anasali peke yake, na wanafunzi wake walikuwa karibu. Basi, akawauliza, “Watu wanasema mimi ni nani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Siku moja Isa alipokuwa akiomba faraghani, nao wanafunzi wake wakiwa pamoja naye, akawauliza, “Watu husema mimi ni nani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Wakati mmoja, Isa alipokuwa akiomba faraghani, nao wanafunzi wake wakiwa pamoja naye, akawauliza, “Watu husema mimi ni nani?”

Tazama sura Nakili




Luka 9:18
11 Marejeleo ya Msalaba  

Alipokwisha kuwaaga makutano, akapanda mlimani kwa faragha, kwenda kusali. Na ilipokuwa jioni, alikuwako huko peke yake.


Kiisha Yesu akaenda pamoja nao hatta kiwanja kiitwacho Gethsemane, akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa, hatta niende kule nikasali.


IKAWA alipokuwa mahali fullani, anasali, alipokoma, mmoja katika wanafunzi wake akamwambia, Bwana, tufundishe sisi kusali kama Yohana alivyowafundisha wanafunzi wake.


Na watu wote walipokwisha kubatizwa, na Yesu nae akiisha kubatizwa, na akisali, mbingu zilifunuka.


Ikawa katika siku zile akaomloka akaenda mlimani kuomba, akashinda usiku kucha, akimwomba Mungu.


Wakajibu, wakasema, Yohana Mbatizaji: na wengine, Eliya: na wengine kwamba nabii mmoja katika wale wa kale amefufuka.


Hatta baada ya maneno haya, panapo siku nane, akamchukua Petro na Yohana na Yakobo, akapanda mlimani kusali.


Ikawa alipokuwa akisali, sura ya uso wake ikageuka, na mavazi yake yakawa meupe, yakimetameta.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo