Luka 9:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192117 Wakala, wakashiba wote: na vile vipande vilivyowabakia vikaokotwa, vikapu thenashara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Watu wote wakala, wakashiba. Wakakusanya mabaki ya chakula, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Watu wote wakala, wakashiba. Wakakusanya mabaki ya chakula, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Watu wote wakala, wakashiba. Wakakusanya mabaki ya chakula, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Wote wakala, wakashiba. Nao wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Wote wakala, wakashiba. Nao wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu kumi na viwili. Tazama sura |