Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 9:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Akawaambia, Wapeni ninyi chakula. Wakasema, Hatuna kitu zaidi ya mikate mitano na samaki mbili, tusipokwenda sisi wenyewe tukawannnulie vyakula watu hawa wote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Lakini Yesu akawaambia, “Wapeni nyinyi chakula.” Wakamjibu, “Hatuna chochote ila mikate mitano na samaki wawili. Labda twende wenyewe tukawanunulie chakula watu wote hawa!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Lakini Yesu akawaambia, “Wapeni nyinyi chakula.” Wakamjibu, “Hatuna chochote ila mikate mitano na samaki wawili. Labda twende wenyewe tukawanunulie chakula watu wote hawa!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Lakini Yesu akawaambia, “Wapeni nyinyi chakula.” Wakamjibu, “Hatuna chochote ila mikate mitano na samaki wawili. Labda twende wenyewe tukawanunulie chakula watu wote hawa!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Isa akawajibu, “Ninyi wapeni chakula.” Nao wakajibu, “Tuna mikate mitano na samaki wawili tu. Labda twende tukanunue chakula cha kuwatosha watu hawa wote.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Isa akawajibu, “Ninyi wapeni chakula.” Nao wakajibu, “Hatuna zaidi ya mikate mitano na samaki wawili. Labda twende tukanunue chakula cha kuwatosha watu hawa wote.”

Tazama sura Nakili

Luka 9:13
8 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta jua lilipoanza kuchwa wale thenashara wakamwendea wakamwambia, Uwaage makutano illi waende zao hatta vijiji vilivyo kandokando na mashamba wakapate mahali pa kulala na vyakula: maana hapa tulipo nyika tupu.

Kwa maana walikuwako wanaume wapata elfu tano.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo