Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 8:56 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

56 Wazazi wake wakastaajabu sana, akawaamuru wasimwambie mtu lililotukia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

56 Wazazi wake walishangaa, lakini Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote hayo yaliyotendeka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

56 Wazazi wake walishangaa, lakini Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote hayo yaliyotendeka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

56 Wazazi wake walishangaa, lakini Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote hayo yaliyotendeka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

56 Wazazi wake wakastaajabu sana, lakini Isa akawakataza wasimwambie mtu yeyote kuhusu yale yaliyotukia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

56 Wazazi wake wakastaajabu sana, lakini Isa akawakataza wasimwambie mtu yeyote juu ya yale yaliyotukia.

Tazama sura Nakili




Luka 8:56
5 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamwambia, Angalia, usimwambie mtu; illa enenda zako, ukajionyeshe kwa kuhani, utoe sadaka kama alivyoamuru Musa, iwe ushuhuda kwao.


Macho yao yakafumbuka. Yesu akawaagiza kwa nguvu, akinena, Angalieni hatta mtu mmoja asijue.


Akamwagiza asimwambie mtu: illa enenda, ukajionyeshe kwa kuhani, ukatoe kwa kutakasika kwako alivyoamuru Musa, illi kuwa ushuhuda kwao.


Roho yake ikarudi, akasimama marra moja. Akaagiza apewe chakula.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo