Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 8:50 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

50 Yesu aliposikia, akamjibu, akasema, Usiogope, amini tu, nae ataokolewa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

50 Yesu aliposikia hayo akamwambia Yairo, “Usiogope; amini tu, naye atapona.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

50 Yesu aliposikia hayo akamwambia Yairo, “Usiogope; amini tu, naye atapona.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

50 Yesu aliposikia hayo akamwambia Yairo, “Usiogope; amini tu, naye atapona.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

50 Isa aliposikia jambo hili, akamwambia Yairo, “Usiogope. Amini tu, naye binti yako atapona.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

50 Isa aliposikia jambo hili, akamwambia Yairo, “Usiogope. Amini tu, naye binti yako atapona.”

Tazama sura Nakili




Luka 8:50
10 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu, marra alipolisikia lile neno likinenwa, akamwambia mkuu wa sunagogi, Usiogope, amini tu.


Yesu akamwambia, Ukiweza kuamini: yote yawezekana kwake aaminiye.


Akamwambia. Jipe moyo mkuu, binti, imani yako imekuponya; enenda zako kwa amani.


Alipofika nyumbani, hakumwacha mtu aingie pamoja nae, illa Petro, na Yakobo na Yohana, na baba yake yule kijana na mama yake. Na watu wote walikuwa wakilia, wakimwombolezea.


Yesu akamwambia, Mimi ni ufufuo na uzima; aniaminiye mimi, ijapo afe, atakuwa ataishi,


Yesu akamwambia, Sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu? Bassi wakaliondoa lile jiwe.


(kama ilivyoandikwa, Nimekuweka kuwa baba wa mataifa mengi) mbele zake aliyemwamini, yaani Mungu, mwenye kuwahuisha wafu, avitajae vitu visivyokuwa kana kwamba vimekuwa.


Wala hakuionea shaka ahadi ya Mungu kwa kutokuamini, bali alitiwa nguvu kwa imani yake, akimtukuza Mungu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo