Luka 8:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu zake. Alipokuwa akipanda, nyingine zikaanguka karibu na njia, zikakanyagwa, ndege za anga wakazila. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 “Mpanzi alikwenda kupanda mbegu zake. Alipokuwa akipanda hizo mbegu, nyingine zilianguka njiani, na wapita njia wakazikanyaga na ndege wakazila. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 “Mpanzi alikwenda kupanda mbegu zake. Alipokuwa akipanda hizo mbegu, nyingine zilianguka njiani, na wapita njia wakazikanyaga na ndege wakazila. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 “Mpanzi alikwenda kupanda mbegu zake. Alipokuwa akipanda hizo mbegu, nyingine zilianguka njiani, na wapita njia wakazikanyaga na ndege wakazila. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 “Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu zake. Alipokuwa akitawanya mbegu, nyingine zilianguka kando ya njia; zikakanyagwa, nao ndege wa angani wakazila. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 “Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu zake. Alipokuwa akitawanya mbegu, nyingine zilianguka kando ya njia; zikakanyagwa, nao ndege wa angani wakazila. Tazama sura |